Nenda kwa yaliyomo

Taasisi ya skauti Tunisia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Taasisi ya Skauti Tunisia (kwa Kiarabu الكشافة التونسية) ni shirika la Skauti la nchini Tunisia lililoanzishwa mnamo mwaka 1934, nalo mwaka 1957 lilikuwa rasmi mwanachama wa chama Shirikisho la vyama vya Skauti Duniani.

Taasisi hii ina jumla ya wanachama wapatao 32,000 (24,080 [1] Skauti na 8,582 Viongozi).

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Triennal review: Census as at 1 December 2010" (PDF). World Organization of the Scout Movement. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka 900/file/Census.pdf chanzo (PDF) mnamo 8 Mei 2012. Iliwekwa mnamo 2011-01-13. {{cite web}}: Check |url= value (help)CS1 maint: date auto-translated (link)