Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Sera ya Chakula
Mandhari
Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Sera ya Chakula (kifupi cha Kiingereza: IFPRI) ni kituo cha kimataifa cha utafiti wa kilimo ambacho hutoa suluhisho za sera zinazotegemea utafiti ili kupunguza umasikini na kumaliza janga la njaa na utapiamlo kote duniani, kwa njia endelevu kimazingira.
Kwa karibu miaka 50, IFPRI imefanya kazi na watunga sera, wasomi, mashirika yasiyo ya kiserikali, sekta binafsi, watendaji wa maendeleo, na wengine ili kufanya utafiti, kuimarisha uwezo, na mawasiliano ya sera kuhusu mifumo ya chakula, maendeleo ya kiuchumi, na kupunguza umaskini [1] [2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
- ↑ CGIAR. "Funders".
- ↑ IFPRI (2023). "International Food Policy Research Institute: Financial Statements and Schedules December 31, 2022 and 2021" (PDF). IFPRI.