Syracuse, New York
Jump to navigation
Jump to search
Syracuse | |
Lua error in Module:Location_map at line 510: Unable to find the specified location map definition: "Module:Location map/data/Marekani" does not exist.Mahali pa mji wa Syracuse katika Marekani |
|
Majiranukta: 42°48′00″N 73°55′00″W / 42.80000°N 73.91667°W | |
Nchi | Marekani |
---|---|
Jimbo | New York |
Wilaya | Onondaga |
Idadi ya wakazi | |
- | 140,658 |
Tovuti: http://www.syracuse.ny.us/ |

Mahali pa Syracuse katika jimbo la New York
Syracuse ni mji wa Marekani katika jimbo la New York. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao 140,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 116 kutoka juu ya usawa wa bahari. Eneo lake ni 66.4 km².
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya New York bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Syracuse, New York kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |