Sweta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mfano wa sweta.

Sweta (kutoka neno la Kiingereza cha Kimarekani "sweater"[1]) ni vazi au nguo inayovaliwa hasa kipindi cha baridi kwa ajili ya kutunza joto la mwili katika kifua na mikono.

Huvaliwa katika sehemu zenye baridi kidogo, kwa sababu katika sehemu zenye baridi kali watu hupendelea kuvaa makoti kwa kuwa yanatunza joto zaidi: makoti huwezi kuyafananisha na masweta kwani ni mazito kutegemea jinsi lilivyo tengenezwa

Hata hivyo wanaokaa sehemu za baridi, wengine huvaa masweta na makoti pamoja ili kulinda afya.

Kama kawaida masweta pia sasa yamekuwa kama mtindo mpya barani Afrika, kwa kuwa idadi ya wavaaji imeongezeka zaidi, tofauti na mwanzo.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. sweater: definition of sweater in Oxford dictionary (British & World English),. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-04-25. Iliwekwa mnamo 2017-06-13.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sweta kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.