Svenja Fölmli
Mandhari
Svenja Fölmli (alizaliwa 19 Agosti 2002) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Uswisi ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya SC Freiburg na timu ya taifa ya wanawake ya Uswisi.[1] Staili yake ya uchezaji imefananishwa na mchezaji Kylian Mbapé.[2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Ensmenger, Marjana (4 Oktoba 2019). "Svenja Fölmli wandelt auf den Spuren von Kylian Mbappé". Zentralplus. Iliwekwa mnamo 12 Machi 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Svenja Fölmli". World Football. Iliwekwa mnamo 12 Machi 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Svenja Fölmli". Playmaker Stats. Iliwekwa mnamo 16 Septemba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Svenja Fölmli kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |