Nenda kwa yaliyomo

Sveindís Jane Jónsdóttir

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sveindís Jane Jónsdóttir (alizaliwa 5 Juni 2001) ni mchezaji wa mpira wa miguu katika klabu ya wanawake ya VfL Wolfsburg kwenye ligi ya Frauen-Bundesliga nchini Ujerumani. [1] Alijiunga na timu ya taifa ya Iceland mwaka 2020. Mnamo mwaka 2021 alichaguliwa kuwa mchezaji bora wa kike wa mwaka.


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sveindís Jane Jónsdóttir kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.