Sumbawa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Kecamatan_Alas_Sumbawa

Sumbawa ni kisiwa cha Indonesia. Kiko kati ya kisiwa cha Lombok upande wa magharibi na kisiwa cha Flores upande wa mashariki. Eneo la kisiwa ni 15,214 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Bima. Mwaka wa 2014 idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 1,391,340. Wengi wa watu wakaao kisiwani kwa Sumbawa huongea Kisumbawa.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.