Lombok

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kisiwa Lombok


Lombok ni kisiwa cha Indonesia. Kiko upande wa mashariki wa kisiwa cha Bali na upande wa magharibi wa kisiwa cha Sumbawa. Eneo la kisiwa ni 4514 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Mataram. Mwaka wa 2014 idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 3,311,000.

Sciences de la terre.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Lombok kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.