Kisumbawa
Mandhari
Kisumbawa ni lugha ya Kiaustronesia inayozungumzwa na Wasumbawa nchini Indonesia, kwenye visiwa vya Sumbawa na Moyo. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisumbawa iko katika kundi la Kibali-Sasak-Sumbawa.
Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kisumbawa ilihesabiwa kuwa watu 300,000.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kisumbawa kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kisumbawa
- lugha ya Kisumbawa katika Glottolog
- lugha ya Kisumbawa kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kisumbawa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |