Sulekha Ali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sulekha Ali
Sulekha Ali

Sulekha Ali ( Kisomali: Suleekha Cali‎ ) ni mwanamuziki wa nchini Somalia mwenye asili ya Kanada . Akiwa Ottawa, alisoma katika Chuo Kikuu cha Carleton, ambapo alihitimu aikiwa na shahada ya sanaa (BA Hons) na shahada ya haki za binadamu.

Nyimbo maarufu za Ali ni pamoja na "Hooyo" ("Mother" katika lugha ya Kisomali ) na "Time and Time". [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sulekha Ali kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.