Sui iuris

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sui iuris ni msamiati wa Kilatini unaomaanisha lenye sheria za kwake na linatumika hasa katika Kanisa Katoliki kuhusu madhehebu ambayo ndani ya umoja wake yanajitegemea kisheria, yaani Kanisa la Kilatini na Makanisa Katoliki ya Mashariki.

Msamiati huohuo unatumika pia kwa ajili ya misheni chache ambazo ziko katika hatua ya kwanza lakini haziko chini ya dayosisi lolote, bali zinaongozwa na padri kufuatana na sheria za pekee.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sui iuris kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.