Nenda kwa yaliyomo

Stina Blackstenius

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Stina Blackstenius akiwa na Uswidi[1]

Emma Stina Blackstenius (alizaliwa Februari 5, 1996) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uswidi anayecheza kama mshambuliaji katika klabu ya BK Häcken na pia anacheza katika timu ya taifa ya Uswidi.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Stina Blackstenius", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2021-11-25, iliwekwa mnamo 2021-11-27