Steven Weinberg

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Steven Weinberg

Steven Weinberg (3 Mei 1933 - 2021) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza usumaku.

Mwaka wa 1979, pamoja na Sheldon Glashow na Abdus Salam alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Steven Weinberg kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.