Stephy Mavididi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Stephy Mavididi

Stephy Alvaro Mavididi (amezaliwa 31 Mei 1998) ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anacheza katika klabu ya Juventus U23 ya Italia na ancheza kama mshambuliaji katika klabu hiyo.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Stephy Mavididi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.