Steinkjer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Steinkjer

Steinkjer ni makao makuu ta Nord-Trøndelag, jimbo la Norwei.

Idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 21,151 mwaka wa 2011.

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Steinkjer kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.