Nenda kwa yaliyomo

Nord-Trøndelag

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nord-Trøndelag
Mahali pa Nord-Trøndelag nchini Norwei

Nord-Trøndelag ("Trøndelag kaskazini") ni moja kati ya majimbo ya Norwei. Jimbo lipo upande wa kaskazini mwa Trøndelag. Na kwa mwaka wa 2010, jimbo lina wakazi takriban 131,555, inaifanya liwe jimbo la nne kwa uchache wa wakazi jimboni. Manispaa kubwa jimboni hapa ni pamoja na Stjørdal, Steinkjer—makao makuu wa jimbo, Levanger, Namsos na Verdal, Yote yakiiwa na idadi ya wakazi kati ya 21,000 na 12,000. Msingi wa uchumi katika jimbo hili hasa hutegemea huduma kadhaa zinazopatikana kwa viwanda, kilimo, samaki, umeme wa haidroliki na kadhalika. Jimbo lina mapato madogo sana kuliko jimbo lolote nchini humo.

Manispaa

[hariri | hariri chanzo]
Mahali pa manispaa za Nord-Trøndelag

Nord-Trøndelag imegawanyika katika manispaa 23 baada ya Inderøy na Mosvik kuunganishwa mnamo 1 Januari 2012, na kuchukua jina la Inderøy.

Ukubwa.ManispaaIdadi ya wakaziEneo
(km2)
Eneo
(sqmi)
KitovurMar.
1Flatanger1,104434.8167.9Lauvsnes
2Fosnes670474.6183.2Jøa
3Frosta2,49574.328.7Frosta[1]
4Grong2,3611 114.3430.2Grong
5Høylandet1,270705.2272.3Høylandet
6Inderøy5,897145.156.0Sakshaug
7Leka593108.041.7Leka
8Leksvik3,528400.2154.5Leksvik
9Levanger18,580611.3236.0Levanger
10Lierne1,4352 640.01 019.3Sandvika
11Meråker2,4711 273.4491.7Midtbygda[2]
12Mosvik810205.779.4Mosvik
13Nærøy4,9901 013.5391.3Kolvereid
14Namdalseid1,697737.9284.9Namdalseid
15Namsos12,795757.1292.3Namsos
16Namsskogan9281 368.1528.2Namsskogan
17Overhalla3,577699.0269.9Ranemsletta
18Røyrvik4951 334.6515.3Røyrvik
19Snåsa2,1642 160.4834.1Snåsa
20Steinkjer21,0801 427.5551.2Steinkjer[3]
21Stjørdal21,375919.8355.1Stjørdalshalsen[4]
22Verdal14,2221 488.5574.7Verdalsøra
23Verran2,914558.5215.6Malm
24Vikna4,122310.2119.8Rørvik
  1. Statistics Norway. "Tall om Frosta kommune" (kwa Norwegian). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2004-09-07. Iliwekwa mnamo 26 Desemba 2010.{{cite web}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
  2. Statistics Norway. "Tall om Meråker kommune" (kwa Norwegian). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-10-01. Iliwekwa mnamo 26 Desemba 2010.{{cite web}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
  3. Statistics Norway. "Tall om Steinkjer kommune" (kwa Norwegian). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-12-27. Iliwekwa mnamo 26 Desemba 2010.{{cite web}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
  4. Statistics Norway. "Tall om Stjørdal kommune" (kwa Norwegian). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-03-02. Iliwekwa mnamo 26 Desemba 2010.{{cite web}}: CS1 maint: unrecognized language (link)