Nenda kwa yaliyomo

Stameni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Stameni za ua Hippeastrum lenye filamenti nyeupe pamoja na filamenti zilizojotokeza zikiwa zimebeba mbelewele.

Stameni ni sehemu ya kiume ya ua ambayo huundwa na filamenti pamoja na chavulio.

Sehemu hii ya ua ndiyo izalishayo mbelewele kwa ajili ya utungishaji katika ua.

Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Stameni kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.