Staceyann Chin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Staceyann Chin

Staceyann Chin (alizaliwa Desemba 25, 1972) ni mshairi, msanii wa kuigiza na mwanaharakati wa kisiasa na haki za LGBT wa nchini Marekani

Maisha binafsi[hariri | hariri chanzo]

Chin alizaliwa Jamaica lakini kwa sasa anaishi New York City, Brooklyn . Ana asili ya Kichina na Kiafrika. Alitangaza mnamo 2011 kwamba alikuwa na ujauzito wa mtoto wake wa kwanza, na akajifungua binti Zuri mnamo Januari 2012.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Staceyann Chin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.