Nenda kwa yaliyomo

St Elizabeth Hospital

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

St Elizabeth Hospital ni hospitali inayomilikiwa na kuendeshwa na Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Arusha.

Ilianzishwa mwaka 1974 kama zahanati na kufanywa kuwa hospitali mwaka 1984 [1]

Hospitali hiyo inapatikana katikati mwa jiji la Arusha ikiwa ni hospitali ya tatu kwa ukubwa katika mkoa wa Arusha.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "ST. ELIZABETH HOSPITAL ARUSHA". www.seha.or.tz. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-11-12. Iliwekwa mnamo 2020-03-07.