Splash Water World

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Splash Water World ni bustani katika ambapo familia huenda kubarizi wakati wa wikendi. Iko katika eneo la Lang'ata jijini Nairobi, Kenya, kupakana na mkahawa wa walanyama. Kuna kidimbwi cha kuogelea, kupanda ngamia na hata farasi.