Soufiane El Bakkali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
El Bakkali kwenye Olimpiki ya 2020
El Bakkali kwenye Olimpiki ya 2020

Soufiane El Bakkali (amezaliwa 7 Januari 1996) ni mwanariadha wa kiume kutoka Moroko anayekimbia mbio za kuruka viunzi. Aliwakilisha nchi yake kwenye Olimpiki ya Majira ya joto mwaka 2016 na 2020.[1][2]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-09-22. Iliwekwa mnamo 2021-12-03.
  2. https://results.nbcolympics.com/results

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Soufiane El Bakkali Archived 22 September 2016 at the Wayback Machine. Rio2016. Retrieved on 19 August 2016.
  2. 2014 African Championships in Athletics Results Archived 3 March 2016 at the Wayback Machine. Marrakech2014. Retrieved on 19 August 2016.