Sonia Mugabo
Mandhari
Sonia Mugabo ni mfanyabiashara nchini Rwanda, mbunifu wa mitindo na mwanamitindo.Yeye ndiye mwanzilishi na afisa mtendaji wa kampuni ya nguo iliyopewa jina lake Sonia Mugabo.[1][2]
Maisha na Elimu
[hariri | hariri chanzo]Alizaliwa Kigali, 5 Mei 1990.[2] Katika mahojiano na Forbes Africa yaliyofanyika mnamo mwaka 2015 Mugabo alisema alikua na umri wa Miaka minne wakati wa mauaji ya Kimbari yaliyofanyika mnamo mwaka 1994 dhidi ya Rwanda na Watutsi.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ LOAC (30 Machi 2016). "Sonia Mugabo - The startup story of a fashion entrepreneur in Rwanda, building a strong men and womenswear brand that celebrates local artisan craftsmanship". Lionessesofafrica.com (LOAC). Iliwekwa mnamo 2 Novemba 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ 2.0 2.1 Nsehe, Mfonobong (13 Machi 2017). "30 Most Promising Young Entrepreneurs In Africa 2017". Forbes.com. Iliwekwa mnamo 2 Novemba 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Guttman, Amy (31 Agosti 2015). "From Genocide To Gen Y: The Rise Of Rwanda's Creatives". Forbes.com. Iliwekwa mnamo 2 Novemba 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)