Sola Sobowale
Mandhari
Sola Sobowale (alizaliwa 26 Desemba 1963) ni mwigizaji, muandaaji, muongozaji na muandishi wa miswada ya filamu wa Nigeria.[1]
Maisha binafsi
[hariri | hariri chanzo]Sobowale ameolewa na ni mama wa watoto wanne.[2]
Tuzo
[hariri | hariri chanzo]Mwaka 2019,Sobowale alipokea tuzo ya Africa Movie Academy Awards (AMAA)]] kama muigizaji bora kupitia filamu aliyocheza mwaka 2018 ya King of Boys.
Filamu
[hariri | hariri chanzo]- Asewo To Re Mecca (1992)
- Super Story: Oh Father, Oh Daughter (2001)
- Outkast (2001)
- Ayomida (2003)
- Ayomida 2 (2003)
- Dangerous Twins (2004)
- Disoriented Generation (2009)
- Ohun Oko Somida (2010)
- Family on Fire (2011)
- The Wedding Party (2016)
- Christmas Is Coming (2017)
- The Wedding Party 2 (2017)
- King of Boys (2018)
- Wives on Strike (2019)
- Gold Statue (2019)
- In Case of Incasity (2020)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Olonilua, Ademola (29 Novemba 2014). "I've lovely legs but I can't wear skimpy dresses –Sola Sobowale". The Punch. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 21 Januari 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "For Sola Sobowale, No Cuddling, Kissing in Movies", 8 December 2018.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sola Sobowale kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |