Nenda kwa yaliyomo

Soko la Hisa la Uganda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Soko la hisa la Uganda)
Nembo

Soko la Hisa la Uganda ni soko la hisa la pekee nchini Uganda. Makao makuu yapo Kampala. Likaanzishwa mwaka 1197 na kuanza shughuli kwenye Januari 1998. Kazi yake inasimamiwa na Mamlaka ya Masoko ya Mitaji ya Uganda (Uganda Capital Markets Authority) iliyoko chini ya Benki Kuu ya Uganda. Ni mwanachama wa ushirikiano wa masoko ya hisa ya Afrika.

1998 hisa za pekee zilizofanyiwa biashara zilikuwa zile za Benki ya Maendeleo ya Afrika Mashariki (EADB) na hadi sasa kuna makampuni 9 katika Afrika ya Mashariki yaliyoandikishwa sokoni. Siku za biashara ni Jumatatu, Jumanne na Alhamisi.

Makampuni

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Soko la Hisa la Uganda kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.