DFCU Group

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

DFCU ni kifupi kwa Development Finance Company of Uganda. Kampuni hiyo ni benki. Makao makuu yapo Kampala nchini Uganda.

Faili:DFCU LOGO.jpg
logo ya DFCU_LOGO.jpg

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu DFCU Group kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.