Sofya Berultseva
Mandhari
Sofya Berultseva (Kirusi: Софья Берульцева, alizaliwa 6 Novemba 2000) ni mshindi wa medali ya shaba kutokea Kazakhstan katika Olimpiki ya karateka, anawakilisha Kazakhstan kimataifa katika hafla za Kumite (Karate).[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "WKF Ranking". accreditation.qtixx.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-12-03. Iliwekwa mnamo 2021-12-03.