Sitiari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Sitiari (kutoka neno la Kiarabu; kwa Kiingereza: "metaphor" kutoka Kigiriki μεταφορά, metaforaa, yaani "uhamisho") ni tamathali ya usemi inayofananisha mambo mawili bila kutumia kiunganishi katikati.

Kwa mfano: "Jihadhari, mtu yule ni sungura". Msemaji hadhani kweli kwamba mtu ni sungura, bali anataka kudokeza na kusisitiza ujanja wake.

Usemi wa namna hiyo unapamba sentensi na kuweza kuifanya iwe na hadhi ya sanaa.

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sitiari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.