Sing Bing Kang
Mandhari
Sing Bing Kang | |
Kazi yake | Mtafiti wa kompyuta |
---|
Sing Bing Kang ni mtafiti mkuu wa Microsoft[1]. Huko, anaandika makala zinazohusiana na michoro ya kompyuta ambayo inachapishwa na Jarida la Kimataifa la Kompyuta na mengine mengi.
Ni mhariri mwenza wa vitabu viwili; Maono ya Panoramiki (Panoramic Vision):sensori, nadharia, na Matumizi ambayo alifanya na R. Benosman, na mada zinazoibuka katika dira ya kompyuta huku G. Medioni akiwa mhariri mkuu. Kando na kuhariri na kuchapisha, pia alikuwa mwandishi mwenza wa vitabu viwili; Image-Based Rendering na Image-Based Modeling of Plants and Trees.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Microsoft researchers and engineers working around the world". Microsoft Research (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-08-11.
- ↑ "Microsoft researchers and engineers working around the world". Microsoft Research (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-08-11.