Nenda kwa yaliyomo

Simon Sluga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Simon Sluga

Simon Sluga (alizaliwa 17 March 1993) ni mchezaji anayecheza kama kipa wa soka wa Timu ya taifa ya Kroatia ambaye anacheza katika klabuya HNK Rijeka katika ligi iiliyopo nchini kroatia.

Kazi ya klabu

[hariri | hariri chanzo]

Alianza kucheza mpira wa miguu akiwa na klabu ya HNK Rijeka baadaye Sluga aliuzwa katika Klabu ya Juventus Primavera na Verona Primavera

Katika msimu wa mwaka 2013-14 alikopwa na klabu ya NK Pomorac iiliyopo nchini Kroatia . Alienda katika klabu ya Prva HNL kwa mkopo msimu wa mwaka wa 2014-15.

Alirudi Rijeka rasmi Julai 19, 2015 baada ya mkopo wake kuisha katika klabu ya nk locomotov na kucheza mechi dhidi ya klab ya Slaven Belupo na baadaye agosti 2015, alikopwa tena katika klabu ya Spezia Calcio katika ligi ya Serie B Italia.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Simon Sluga kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.