Simon Laiseri
Mandhari
Simoni Laiza alikuwa ni kiongozi wa kabila la Waarusha.alizaliwa mwaka 1888 katika mkoa wa Arusha, Tanzania. alifariki mwaka 1983 akiwa na umri wa miaka 95.14 Januari 1948,alitangazwa kuwa kiongozi wa kabila la Waarausha wakati wa utawala wa koloni la Uingereza [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Simon Laiseri kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |