Simferopol

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Simferopol

Simferopol (kwa Kirusi: Симферополь) ni mji wa rasi ya Krimea iliyotekwa na Urusi kutoka mikononi mwa Ukraine.

Ina wakazi 336.460. Iko katika mkoa wa Jamhuri ya Krim.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Simferopol kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.