Simeon Akinola

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Simeon Oluwatimelehin Akinola Olaonipekun (alizaliwa 6 Agosti 1992) ni mwanasoka mstaafu wa Nigeria.

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Akinola alizaliwa Lagos, Nigeria, na alihamia Madrid akiwa na umri wa miaka mitatu.Akinola Alianza kuchezea klabu ya futsal akiwa na umri wa miaka tisa kabla ya kujiunga na klabu ya Alcorcon baada ya jaribio lililofaulu, [1][2] later moving to London.[3] pia baadaye alihamia London.

Ushiriki Kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Akinola anastahili kuchezea Nigeria na Uhispania katika kiwango cha kimataifa. Aliitwa na Uingereza C mnamo Mei 2015, lakini alilazimika kujiondoa.

Msisha Binafsi[hariri | hariri chanzo]

Akinola ana shahada ya uhandisi wa mifumo kutoka Chuo Kikuu cha Westminster. Mnamo Februari 2023, alijiunga na kampuni J.P. Morgan & Co. kupitia programu yake ya mpito ya mwanariadha.

Takwimu Za Ushiriki[hariri | hariri chanzo]

Kuanzia tarehe 3 Desemba 2022

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Interview with Boreham Wood striker Simeon Akinola | the Elastico". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 15 June 2013. Iliwekwa mnamo 2023-06-15.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |archivedate= (help)
  2. "Devonshire strengthens forward options with signing of Akinola". Gazette. 
  3. "The Braintree Town FC website". www.braintreetownfc.org.uk. 

Viungo Vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Simeon Akinola kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.