Nenda kwa yaliyomo

Siku ya Kukaa Nyumbani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Siku ya Kukaa Nyumbani ilikuwa desturi ya kijamii katika Uingereza ya Malkia Viktoria, ambapo wanawake wa hali ya juu walikuwa tayari kupokea wageni katika siku maalumu ya juma.

Mwanamke alichapisha kadi au kupiga simu kuonyesha atakuwa "Nyumbani" k.m. kila "Ijumaa ya Aprili".[1] Wale marafiki zake ambao walikuwa wamepokea kadi wangeweza kumpigia simu siku hiyo.[2]Ilionwa kuwa ukosefu wa adabu kutembelea bila kutangazwa siku nyingine yoyote, au kutembelea bila kupokea kadi.[3]

Wageni walipaswa kumtembelea kati ya saa tatu au nne hadi sita alasiri, na wakae kwa muda wa robo saa hadi saa moja, kutegemeana na kiwango cha ukaribu na mkaribishaji.[4]

Desturi hiyo ya siku za "kukaa nyumbani" ilizingatiwa pia katika makoloni ya Uingereza, kama vile Wellington, New Zealand. [5]

  1. class., Medak, Peter. Buck, Jules, 1917-2001. Hawkins, Jack, 1910-1973. Barnes, Peter, 1931-2004. O'Toole, Peter, 1932-2013. Sim, Alastair, 1900-1976. Lowe, Arthur, 1915-1982. Andrews, Harry, 1911-1989. Browne, Coral, 1913-1991. Bryant, Michael, 1928-2002. Green, Nigel, 1924-1972. Mervyn, William. Seymour, Carolyn. Villiers, James. Crowden, Graham. Cameron, John, 1944- Lovejoy, Ray. Hodges, Ken. Motion picture adaptation of (work): Barnes, Peter, 1931-2004. Ruling, The ruling class, ISBN 1-55940-922-3, OCLC 1053065893, iliwekwa mnamo 2022-09-07{{citation}}: CS1 maint: multiple names: authors list (link) CS1 maint: numeric names: authors list (link)
  2. dx.doi.org http://dx.doi.org/10.1075/silv.15.04tem.media.57. Iliwekwa mnamo 2022-09-07. {{cite web}}: Missing or empty |title= (help)
  3. Tead, Ordway (1918-03). "The British Reconstruction Programs". Political Science Quarterly. 33 (1): 56. doi:10.2307/2141880. ISSN 0032-3195. {{cite journal}}: Check date values in: |date= (help)
  4. class., Medak, Peter. Buck, Jules, 1917-2001. Hawkins, Jack, 1910-1973. Barnes, Peter, 1931-2004. O'Toole, Peter, 1932-2013. Sim, Alastair, 1900-1976. Lowe, Arthur, 1915-1982. Andrews, Harry, 1911-1989. Browne, Coral, 1913-1991. Bryant, Michael, 1928-2002. Green, Nigel, 1924-1972. Mervyn, William. Seymour, Carolyn. Villiers, James. Crowden, Graham. Cameron, John, 1944- Lovejoy, Ray. Hodges, Ken. Motion picture adaptation of (work): Barnes, Peter, 1931-2004. Ruling, The ruling class, ISBN 1-55940-922-3, OCLC 1053065893, iliwekwa mnamo 2022-09-07{{citation}}: CS1 maint: multiple names: authors list (link) CS1 maint: numeric names: authors list (link)
  5. Vann, Roberta J.; Abraham, Roberta G. (1990). "Strategies of Unsuccessful Language Learners". TESOL Quarterly. 24 (2): 177. doi:10.2307/3586898. ISSN 0039-8322.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Siku ya Kukaa Nyumbani kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.