Nenda kwa yaliyomo

Sigrid Undset

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sigrid Undset (mwaka wa 1927)
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Sigrid Undset (20 Mei 188210 Juni 1949) alikuwa mwandishi wa kike kutoka nchi ya Norwei. Hasa aliandika riwaya ambazo ndani yake alijishughulikia na matatizo ya wanawake wa kisasa. Mwaka wa 1928 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sigrid Undset kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.