Siegfried & Roy

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Siegfried & Roy

Siegfried & Roy, 2012
Amezaliwa 13 Juni 1939 (1939-06-13) (umri 84) (Siegfried)
(1944-10-03)Oktoba 3, 1944 (Roy)
Las Vegas, Nevada, U.S. (Roy)

Siegfried Tyron Fischbacher & Uwe Ludwig Horn (wamezaliwa mmoja mwaka 1939 / mwingine 19442020) ni wasanii wa mazingaombwe kutoka nchini Ujerumani waliokuwa mashuhuri kutokana na maonyesho yao huko Marekani mjini Las Vegas yaliyotembelewa na watazamaji zaidi ya milioni 25. Walikuwa mashuhuri hasa kwa michezo yao pamoja na chui milia weupe uwanjani.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Siegfried & Roy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.