Sidney Abrahams

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Picha ya Sidney Abrahams

Sidney Abrahams PC QC (11 Februari 1885 - 14 Mei 1957), jina lake la utani lilikua Solly, alikuwa mwanariadha wa Olimpiki wa Uingereza na tarehe 26 alikabidhiwa rasmi Ujaji Mkuu wa Ceylon (leo Sri Lanka).

Alikuwa kaka wa mwanariadha maarufu Harold Abrahams.

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sidney Abrahams kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.