Nenda kwa yaliyomo

Shule ya Sifundzani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Shule ya Sifundzani ni shule ya kimataifa huko Mbabane, Eswatini. Ni shule ya kutwa ya mchanganyiko wa wavulana na wasichana ambayo inatoa programu ya elimu kutoka darasa la 1 hadi la 12 kwa wanafunzi wa mataifa yote. Ilianzishwa mwaka 1981 na Mary CL Fraser (MBE) aliyezaliwa Uskoti.[1]

  1. Rajewski, Brian (1999). Cities of the World: Africa (kwa Kiingereza). Gale. ISBN 978-0-8103-7692-2.