Nenda kwa yaliyomo

Shule ya Kireno ya Luanda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Shule ya Kireno ya Luanda (kireno: Escola Portuguesa de Luanda - EPL) ni shule ya kimataifa inayotumia lugha ya Kireno huko Luanda, Angola.[1] Inatoa elimu kwa darasa la kwanza hadi la kumi na mbili.[2]

  1. "Contactos". Escola Portuguesa de Luanda (kwa Kireno (Ulaya)). 2014-06-30. Iliwekwa mnamo 2024-07-16.
  2. "Oferta Educativa". Escola Portuguesa de Luanda (kwa Kireno (Ulaya)). 2014-06-30. Iliwekwa mnamo 2024-07-16.