Nenda kwa yaliyomo

Shuhei Tada

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Shuhei Tada (多田 修平, Tada Shūhei, alizaliwa 24 Juni 1996) ni mwanariadha nchini Japani ambaye alishiriki katika mbio za mita 100 za wanaume katika mashindano ya dunia ya riadha ya mwaka 2017. Tada pia aliwakilisha Japani katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto ya mwaka 2020 huko Tokyo, alishiriki katika matukio ya kupokezana ya mita 100 na 4x100.[1]

  1. Heats results
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shuhei Tada kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.