Shughuli za tarakilishi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Katika utarakilishi, shughuli za tarakilishi (kwa Kiingereza: transaction processing) ni shughuli za kuchakata taarifa kwenye tarakilishi. Shughuli za tarakilishi zinaweza ama kufanyika ama kushindikana.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).