Sho Ito
Mandhari
Sho Ito (alizaliwa Julai 24, 1988) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Yokohama FC. Sho aliwakilisha timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 20 katika michuano ya AFC mnamo mwaka 2006.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Scurr, Andrew. "Japan starlet set for Gunners", Sky Sports, 31 August 2006. Retrieved on 2024-12-07. Archived from the original on 2007-09-29.
- ↑ Hernon, Matthew. "Feature: Japanese Trio Head To Europe", Goal.com, 9 January 2007.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sho Ito kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |