Shirley Cloete

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Shirley Cloete (alizaliwa 2 Agosti 1986) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Namibia ambae amecheza kama kiungo wa timu ya taifa ya wanawake ya Namibia. Alikuwa sehemu ya timu hiyo katika Kombe la Wanawake la Afrika mwaka 2014. Kwenye ngazi ya klabu, alikuwa akicheza klabu ya Okahandja Beauties FC huko Namibia.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Shipanga names Gladiators for Women Championship". nfa.org.na. 
  2. "Host Namibia unveil final squad". cafonline.com. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shirley Cloete kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.