Shirikisho la Mpira wa Kikapu la Kifalme Moroko
Mandhari
Shirikisho la Mpira wa Kikapu la Kifalme Moroko (Kiarabu: الجامعة الملكية المغربية لكرة السلة, (FRMBB) ni bodi ya mpira wa kikapu nchini Moroko, iliyo anzishwa mwaka 1956, yenye makao makuu Rabat.[1] FRMBB ni mwanachama kamili wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Kikapu (FIBA)[2] pia mwanachama wa FIBA Afrika. Aourach Mostafa ndiye Rais wa shirikisho hilo kwa sasa.
Marais
[hariri | hariri chanzo]- Mohamed Smirès
- Mohamed Alami
- Hamid Skalli
- Thami Bennis
- Mohammed Ibrahimi
- Hammouda Yousri
- Noureddine Benabdenbi
- khalid tajeddine
- Khalid Taje-eddine
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Fédération Royale Marocaine de BasketBall". Fédération Royale Marocaine de BasketBall (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2022-09-01.
- ↑ "FIBA.basketball". FIBA.basketball (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-09-01.