Shirakawa wa Japani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchoro wa Shirakawa

Shirakawa (7 Julai, 105324 Julai, 1129) alikuwa mfalme mkuu wa 72 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Sadahito, na alikuwa mwana wa kwanza wa Tenno Go-Sanjo. Mwaka wa 1073 alimfuata babake, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu mwaka wa 1087. Aliyemfuata kama Tenno ni mwana wake, Horikawa.

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shirakawa wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.