Nenda kwa yaliyomo

Shintaro Kimura

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Shintaro Kimura(mwisho wa kushoto)

Shintaro Kimura (木村 慎太郎, Kimura Shintarō, alizaliwa 30 Juni 1987) ni mwanariadha nchini Japani ambaye alibobea katika mbio za mita 100 na 200.[1]

  1. "Shintaro Kimura".
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shintaro Kimura kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.