Nenda kwa yaliyomo

Shiho Tomari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Shiho Tomari (alizaliwa 26 Machi 1990) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae alicheza kama mshambuliaji wa klabu ya AC Nagano Parceiro. Kwasasa ni kocha msaidizi wa timu ya taifa ya wanawake ya Japani.[1][2]

  1. List of match in 2017 at Japan Football Association
  2. AC Nagano Parceiro Archived 27 Juni 2018 at the Wayback Machine.}
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shiho Tomari kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.