Nenda kwa yaliyomo

Shepherd Moons

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Shepherd Moons
Shepherd Moons Cover
Kasha ya albamu ya Shepherd Moons.
Studio album ya Enya
Imetolewa 4 Novemba 1991
Imerekodiwa 1989 - 1991
Aina New Age, Celtic
Urefu 43:09
Lugha Kiingereza
Lebo Epic, 550
Mtayarishaji WEA, Warner Music UK (Europe)
Reprise, Warner Bros.
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Enya
Watermark
(1988)
Shepherd Moons
(1991)
The Celts
(1992)


Shepherd Moons ni albamu ya kutoka kwa mwanamuziki Enya, iliyotolewa mnamo 4 Novemba 1991. Ilishinda tuzo ya Grammy Award:"Grammy Award for Best New Age Album" mnamo 1993. Ilikuwa #1 nchini Uingereza na kwenye chati ya Top 20 nchini Marekani, ikifika namba 17 kwenye chati ya Billboard 200. Albamu hii ilipata mafanikio kwa kuuza nakala milioni 13 kote duniani.[1]

Nyimbo zake

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Shepherd Moons" – 3:42
  2. "Caribbean Blue" – 3:58
  3. "How Can I Keep from Singing?" – 4:23
  4. "Ebudæ" – 1:54
  5. "Angeles" – 3:57
  6. "No Holly for Miss Quinn" – 2:40
  7. "Book of Days" – 2:32[2]
  8. "Evacuee" – 3:50
  9. "Lothlórien" – 2:08
  10. "Marble Halls" – 3:53
  11. "Afer Ventus" – 4:05
  12. "Smaointe..." – 6:07

Thibitisho na mauzo

[hariri | hariri chanzo]
Nchi Namba Thibitisho Mauzo
Australia 3x Platinum 230,000
Austria 31
Brazil Platinum[3] 285,000+
Canada 3x Platinum[4] 320,000+
Ufaransa Gold
Ujerumani Gold[5]
Hungary 35
Netherlands 2x Platinum[6] 170,000+
New Zealand 39
Norway 2
Spain 3 5x Platinum 550,000+
Sweden 5
Uswizi 13 Gold[7] 30,000+
Uingereza 1 4x Platinum[8] 1,300,000+
Marekani 17 5x Platinum[9] 5,800,000+

Wafanyi kazi

[hariri | hariri chanzo]

Utayarishaji

[hariri | hariri chanzo]
  • Producer: Nicky Ryan
  • Executive Producer: Rob Dickins
  • Engineers: Gregg Jackman, Nicky Ryan
  • Assistant engineer: Robin Barclay
  • Mixing: Gregg Jackman, Nicky Ryan
  • Arranger: Enya, Nicky Ryan
  • Photography: David Scheinmann
  • Wardrobe by The New Renaissance

Album

Mwaka Chati Namba
1991 The Billboard 200 (US) 15
1991 Top New Age Albums (US) 1
1991 Official Album Chart (UK) 1

Singles

Mwaka Single Chati Namba
1991 "Caribbean Blue" Modern Rock Tracks (US) 2
1992 "Caribbean Blue" Adult Contemporary (US) 24
1992 "Caribbean Blue" The Billboard Hot 100 (US) 72
1991 "Caribbean Blue" Official Singles Chart (UK) 10
1991 "How Can I Keep From Singing?" Official Singles Chart (UK) 29
1992 "Book Of Days" Official Singles Chart (UK) 8

Grammy Awards

Mwaka Mshindi Tuzo
1993 Shepherd Moons Grammy Award for Best New Age Album
  1. http://blogremembermusic.blogspot.com/2009/11/enya.html
  2. Early editions of the album included a version of Book of Days with Gaelic lyrics. Later editions substituted a new recording with English language lyrics recorded for the soundtrack of the film, Far and Away.
  3. "ABPD". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-09-06. Iliwekwa mnamo 2010-01-22.
  4. "CRIA". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-01-15. Iliwekwa mnamo 2010-01-22.
  5. "IFPI Germany". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-09-27. Iliwekwa mnamo 2010-01-22.
  6. "NVPI". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-08-28. Iliwekwa mnamo 2010-01-22.
  7. IFPI Switzerland
  8. "BPI". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-10-18. Iliwekwa mnamo 2010-01-22.
  9. Billboard “Ask Billboard”