Nenda kwa yaliyomo

Shenyang

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru








Shenyang
Faili:Flag of .png
Bendera
Nchi China
Jimbo Liaoning
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 5,090,000
Tovuti:  www.shenyang.cn
Mji wa Shenyang

Shenyang ni mji wa China. Ndio mji mkuu wa jimbo la Liaoning.

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2008, kuna wakazi wapatao milioni 7.8 wanaoishi katika mji huu.

Mji uko mita 55 juu ya usawa wa bahari.


Makala hii kuhusu maeneo ya China bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Shenyang kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.