Nenda kwa yaliyomo

Sheinnele Marie Jones

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Maisha ya Awali na Elimu

[hariri | hariri chanzo]

Sheinelle Marie Jones[1] alizaliwa April 19, Mnamo mwaka 1978 katika mji was Philadelphia, mtaa wa Pennsylvania ,[2][3] binti wa Jaji wa Mahakama ya Wilaya ya Marekani C. Darnell Jones II.[4] Alihudhuria katika shule ya Wichita Brooks Middle Magnet and Wichita Heights High School, vyote zikiwa katika mji wa Wichita, Kansas, na chuo kikuu cha Northwestern Evanston, Illinois.[5]

Kazi ya kwanza ya utangazaji ya Jones ilikuwa ni Springfield, Illinois[5] kwa WICS.[6]Kabla hajaenda kufanya kazi NBC News, Jones alifanya kazi KOKI-TV, katika kampuni ya Fox Broadcasting, usharika wa Tulsa, Oklahoma [6] na WTXF-TV, FOX inayomilikiwa na kuendeshwa katika mji wa Philadelphia, mtaa wa Pennsylvania.[7] Alikua kwenye kituo Cha habari katika mji wa Philadelphia kwa zaidi ya miaka tisa.[7]

Jones alijiunga na Today American TV program, tarehe 4 Octoba, 2014 Kama sehemu ya Weekend Today]].[7] Januari mwaka 2019, alikua mwenyeji katika cha American TV program)#3rd Hour Today|3rd Hour Today.[8]Kama mwenyeji katika kipindi cha 3rd Hour Today na nanga mwenza kwenye matoleo ya Jumamosi Weekend Today, Jones alikua anafanya kazi siku sita kwa wiki. Desemba 21, 2019, Jones Aliacha kazi Weekend Today.[9] Februari 2020, Jones alifanyiwa upasuaji was koo na hakuweza kuongea kwa wiki mbili, na pia alikaa bila kufanya kazi kwa wiki sita.[10]

Maisha Binafsi

[hariri | hariri chanzo]

Jones aliolewa na Uche Ojeh mnamo 2007 na kupata watoto watatu pamoja.[1]

  1. 1.0 1.1 "Four things you should know about Weekend TODAY's Sheinelle Jones". Today. Oktoba 4, 2014. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Novemba 21, 2019. Iliwekwa mnamo Februari 20, 2020.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Kigezo:Cite AV media
  3. Koenig, Ronnie (Oktoba 14, 2018). "'Quite a week!': Sheinelle Jones shares her packed schedule balancing work, parenting". Today. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Juni 4, 2019. Iliwekwa mnamo Februari 20, 2020. Sheinelle Jones, the energetic Weekend Today anchor, is getting things done! The 40-year-old ….{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Kadaba, Lini S. (Mei 10, 2012). "Sheinelle Jones juggles work, toddler and soon-to-be three". The Philadelphia Inquirer. Philadelphia, Pennsylvania. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Juni 11, 2013. Iliwekwa mnamo Mei 6, 2015. After graduating from Northwestern University's Medill School of Journalism, she did a couple of gigs in smaller, Midwestern markets, then came to Philadelphia in 2005 as a general-assignment reporter for Good Day. She was born in the city and family live here, including her father, U.S. District Judge C. Darnell Jones. {{cite news}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. 5.0 5.1 Tanner, Beccy (Septemba 16, 2014). "Wichita Heights alum to begin hosting NBC's 'Today' show". Wichita Eagle. Wichita, Kansas. Iliwekwa mnamo Mei 6, 2015. Sheinelle Jones, 36, a 1996 graduate of Wichita Heights High School, will begin anchoring the weekend editions of "Today" starting Oct. 4.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. 6.0 6.1 Zakarin, Jordan (Septemba 15, 2014). "'Today' Show Names Sheinelle Jones New Weekend News Anchor". TheWrap. Santa Monica, California. Iliwekwa mnamo Mei 7, 2015. Before her time in Philadelphia, Jones served as an evening news anchor and reporter for KOKI, the FOX affiliate in Tulsa, Oklahoma, and as a morning anchor and reporter for WICS-TV in Springfield, Illinois.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  7. 7.0 7.1 7.2 "Four things you should know about Weekend TODAY's Sheinelle Jones". The Today Show. New York. Oktoba 4, 2014. Iliwekwa mnamo Mei 6, 2015.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  8. Vulpo, Mike. "'Today' Show Third Hour Replacements Revealed". NBC New York. Iliwekwa mnamo 4 Januari 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  9. Kacala, Alexander. "Sheinelle Jones steps away from Weekend TODAY". TODAY.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 4 Januari 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  10. "Sheinelle Jones says she's 'okay' after surgery on vocal cord". TODAY.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-02-25.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]