Shania Hayles

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Shania Hayles akiwa na Bristol City mnamo 2022

Shania Hayles (alizaliwa 22 Disemba 1999) ni mchezaji wa mpira wa miguu ambae anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Bristol City inayshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) [1]. Shania ni mzaliwa wa Uingereza, anaiwakilisha Jamaika kimataifa.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-12-09. Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
  2. "Jamaica - S. Hayles - Profile with news, career statistics and history - Soccerway". int.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shania Hayles kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.